Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka mawaziri kujibu maswali bungeni na kuacha kutoa maneno mengi. Amesema hayo baada ya Wizara ya Madini kushindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu mpango wa serikali baada ya kukamilika kwa mradi wa utafiti wa madini ya graphite mkoani Mtwara.

NDUGAI AWATAKA MAWAZIRI KUPUNGUZA POROJO

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka mawaziri kujibu maswali bungeni na kuacha kutoa maneno mengi. Amesema hayo baada ya Wizara ya Madini kushindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu mpango wa serikali baada ya kukamilika kwa mradi wa utafiti wa madini ya graphite mkoani Mtwara.

Leave a Reply

Your email address will not be published.