Mtoto wa rais mstaafu Jakaya kikwete, ridhiwan kikwete amesema baba yake ni mzima wa afya.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 27, 2021 kupitia ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa Instagram,  akijibu madai yaliyoanza kusambaa mitandaoni tangu jana kuhusu kiongozi huyo mstaafu.

RIDHIWANI KIKWETE ASEMA BABA YAKE YUPO SALAMA KUFUATIA UVUMI ULIOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU AFYA YA RAIS HUYO MSTAAFU

Mtoto wa rais mstaafu Jakaya kikwete, ridhiwan kikwete amesema baba yake ni mzima wa afya.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 27, 2021 kupitia ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa Instagram,  akijibu madai yaliyoanza kusambaa mitandaoni tangu jana kuhusu kiongozi huyo mstaafu.

Leave a Reply

Your email address will not be published.