Klabu ya Simba SC imeahirisha hafla ya uzinduzi wa jezi za msimu wa 2021/22 iliyokuwa ufanyike leo. Klabu hiyo imeeleza kuwa matukio yote ya sherehe yatafanyika Wiki ya Simba itakayoanza Septemba 13 hadi Septemba 19 mwaka huu.

SIMBA YAAHIRISHA HAFLA YA UZINDUZI WA JEZI AMBAPO UTAFANYIKA TENA KATIKA WIKI YA MAADHIMISHO SEPTEMBA 13 HADI 19

Klabu ya Simba SC imeahirisha hafla ya uzinduzi wa jezi za msimu wa 2021/22 iliyokuwa ufanyike leo. Klabu hiyo imeeleza kuwa matukio yote ya sherehe yatafanyika Wiki ya Simba itakayoanza Septemba 13 hadi Septemba 19 mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published.