Watu wasiopungua 64, wakiwemo wazima moto wanane wamejeruhiwa baada ya lori moja la kusafirisha mafuta kulipuka ghafla wakati lilipokuwa likipakua mafuta kwenye kituo kimoja cha petroli mjini Kano, kaskazini mwa Nigeria.

WATU 64 WAJERUHIWA BAADA YA LORI LA MAFUTA KULIPUKA

Watu wasiopungua 64, wakiwemo wazima moto wanane wamejeruhiwa baada ya lori moja la kusafirisha mafuta kulipuka ghafla wakati lilipokuwa likipakua mafuta kwenye kituo kimoja cha petroli mjini Kano, kaskazini mwa Nigeria.

Leave a Reply

Your email address will not be published.